Dkt. Juma Mohamed Salum, Mkurugenzi wa Muungano – Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT (wa tano kulia), Bw. Ernest Maduhu Mchanga, Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha (wa sita kulia), Bw. Jonas Hungwi Nduttu, Katibu Msaidizi wa Tume ya Pamoja ya Fedha (wa tano kushoto) katika picha ya pamoja na watumishi wa Tume na wataalam kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Wizara ya Fedha ya SJMT na Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango, SMZ baada ya Semina ya kuwajengea uwezo kuhusu utekelezaji wa majukumu yanayohusu mambo ya Muungano katika Wizara, Idara na Taasisi zilizo chini ya SJMT iliyofanyika tarehe 06 Machi, 2025 mkoani Morogoro.
Dkt. Juma Mohamed Salum, Mkurugenzi wa Muungano – Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT (wa nne kulia), Bw. Ernest Maduhu Mchanga, Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha (wa tano kulia), Bw. Jonas Hungwi Nduttu, Katibu Msaidizi wa Tume ya Pamoja ya Fedha (wa nne kushoto) katika picha ya pamoja na Wataalam kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Wizara ya Fedha ya SJMT na Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango, SMZ baada ya Semina ya kuwajengea uwezo kuhusu utekelezaji wa majukumu yanayohusu mambo ya Muungano katika Wizara, Idara na Taasisi zilizo chini ya SJMT iliyofanyika tarehe 06 Machi, 2025 mkoani Morogoro.
Dkt. Juma Mohamed Salum, Mkurugenzi wa Muungano – Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT akifungua Semina ya kuwajengea uwezo Wataalam kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Wizara ya Fedha ya SJMT na Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango, SMZ, kuhusu utekelezaji wa majukumu yanayohusu mambo ya Muungano katika Wizara, Idara na Taasisi zilizo chini ya SJMT iliyofanyika tarehe 06 Machi, 2025 mkoani Morogoro.
Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha, Bw. Ernest Maduhu Mchanga akizungumza katika Semina ya kuwajengea uwezo Wataalam kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Wizara ya Fedha ya SJMT na Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango, SMZ, kuhusu utekelezaji wa majukumu yanayohusu mambo ya Muungano katika Wizara, Idara na Taasisi zilizo chini ya SJMT iliyofanyika tarehe 06 Machi, 2025 mkoani Morogoro.
Bw. Francis Daggo, Mchumi kutoka Tume ya Pamoja ya Fedha akiwasilisha mada katika Semina ya kuwajengea uwezo Wataalam kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Wizara ya Fedha ya SJMT na Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango, SMZ kuhusu utekelezaji wa majukumu yanayohusu mambo ya Muungano katika Wizara, Idara na Taasisi zilizo chini ya SJMT iliyofanyika tarehe 06 Machi, 2025 mkoani Morogoro.
Wataalam kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa JMT, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Wizara ya Fedha ya SJMT na Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango, SMZ wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika Semina iliyohusu utekelezaji wa majukumu yanayohusu mambo ya Muungano katika Wizara, Idara na Taasisi zilizo chini ya SJMT iliyofanyika tarehe 06 Machi, 2025 mkoani Morogoro.