Uteuzi wa aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume
Uteuzi wa aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume
07 Apr, 2023
Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan amemteua Dr. CPA. James Andilile Mwainyekule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Bw. Mwainyekule alikuwa Mhasibu Mkuu, Tume ya Pamoja ya Fedha.