Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Fedha na Mipango

Tume ya Pamoja ya Fedha

JFC Logo
Karibu JFC
Ernest Maduhu Mchanga photo
Bw. Ernest Maduhu Mchanga
Katibu

: +25522120576/0683243283

Ninayo furaha kuwakaribisha Wadau wote kwenye tovuti yetu yenye lengo la kuhabarisha Umma kuhusu shughuli zinazofanywa na Tume ya Pamoja ya Fedha. Katika tovuti hii, Tume imeainisha huduma inazotoa kwa lengo la kukidhi matarajio ya wateja wake, na  hivyo kujifunza na kupata taarifa mbalimbali zinazoihusu Tume na huduma inazotoa.

Mwisho, niwaombe Wadau wote kuendelea kutembelea tovuti hii na kuwasihi kuwasiliana nasi kwa kutoa maoni, ushauri au kuomba ufafanuzi kuhusu huduma zetu.

Ahsanteni na karibuni Tume ya Pamoja ya Fedha.

KATIBU

TUME YA PAMOJA YA FEDHA