Uteuzi wa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha
Uteuzi wa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha
07 Apr, 2023
Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ernest Maduhu Mchanga kuwa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha.