Dira na Dhima
Dira na Dhima
Dira
Kuwa Taasisi yenye Utaalamu wenye Weledi katika kusimamia Uhusiano wa Kifedha kati ya Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili kuimarisha Muungano wa Tanzania.
Dhima
Kutoa Ushauri wa Kitaalam kuhusu Uhusiano wa Kifedha katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuimarisha na kudumisha Muungano wetu