Uongozi na Wafanyakazi wa Tume ya Pamoja ya Fedha unakupongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Watanzania kuendelea kuwa Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume ya Pamoja ya Fedha itaendelea kutekeleza jukumu la kutoa Mapendekezo na Ushauri kuhusu Uhusiano wa Kifedha kati ya Serikali mbili ili kuimarisha Muungano wetu
Uongozi na Wafanyakazi wa Tume ya Pamoja ya Fedha unakupongeza Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Watanzania kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume ya Pamoja ya Fedha itaendelea kutekeleza jukumu la kutoa Mapendekezo na Ushauri kuhusu Uhusiano wa Kifedha kati ya Serikali mbili ili kuimarisha Muungano wetu
Uongozi na Wafanyakazi wa Tume ya Pamoja ya Fedha unakupongeza Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Wananchi wa Zanzibar katika kipindi cha pili kuwa Rais wa Awamu ya Nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Tume ya Pamoja ya Fedha itaendelea kutekeleza jukumu la kutoa Mapendekezo na Ushauri kuhusu Uhusiano wa Kifedha kati ya Serikali mbili ili kuimarisha Muungano wetu