Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Fedha

Tume ya Pamoja ya Fedha

JFC Logo
MIAKA 62 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
26 Apr, 2026
MIAKA 62 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

Uongozi na Watumishi wa Tume ya Pamoja ya Fedha, unatoa pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa uongozi thabiti na wenye maono unaoendelea kuimarisha Uhusiano wa Kifedha kati ya pande mbili za Muungano, na hivyo kudumisha, kuendeleza na kuenzi maono ya waasisi wa Muungano.