Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Fedha

Tume ya Pamoja ya Fedha

JFC Logo
MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25
20 Aug, 2024
MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Ernest Mchanga (wa sita kulia), Cde. Rugemalira Rutatina, Naibu Katibu Mkuu TUGHE Taifa (wa tatu kushoto), Bw. Maulid Kasimba, Mjumbe kutoka TUGHE Mkoa wa Dar es salaam (wa tatu kulia), Bw. Francis Daggo, Katibu wa Baraza (wa pili kushoto), Bi. Nadia Musa, Katibu Msaidizi wa Baraza (wa tano kulia) katika picha ya pamoja na Wajumbe na Waalikwa baada ya Mkutano wa kwanza wa Baraza la Wafanyakazi kwa mwaka wa Fedha 2024/25 uliofanyika tarehe 17 Agosti, 2024 Mkoani Morogoro.