Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Fedha

Tume ya Pamoja ya Fedha

JFC Logo
Je, Una Maoni, Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo au Pongezi? Tutumie kupitia mfumo wa e-Mrejesho
28 Nov, 2025
Je, Una Maoni, Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo au Pongezi? Tutumie kupitia mfumo wa e-Mrejesho

Je, Una Maoni, Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo au Pongezi? Tutumie kupitia mfumo wa e-Mrejesho

e-Mrejesho ni mfumo wa kieletroniki wa kutuma, kufuatilia na kupokea mrejesho pamoja na kutoa takwimu sahihi na kwa wakati za ushughulikiaji wa mrejesho wa huduma zinazotolewa na Tume.

Mfumo huu unapatikana kupitia:-

  1. Tovuti ya Tume au kupitia kiunganishi (link) www.emrejesho.gov.go.tz
  2. Simu janja kwa kupakua program ya simu (Mobile Application) inayopatikana Appstore na Playstore
  3. Msimbo (USSD) kwa kupiga *152*00# kisha chagua namba 8, alafu 2, kisha chagua huduma na fuata maelekezo. Sehemu ya jina la taasisi andika JFC.

Aidha, Mwananchi anaweza kutoa mrejesho kupitia njia zifuatazo

  1. Barua pepe; tuandikie kupitia mrejesho@jfc.go.tz,
  2. Sanduku la maoni lililopo mapokezi ya Ofisi ya Tume, jengo la Sukari – Posta, Dar es salaam.
  3.  Sanduku la Posta
  4. Kupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maneno (WhatsApp & SMS) kupitia namba 0737 000 092
  5. Kufika katika ofisi ya mrejesho ya Tume iliyopo ghorofa ya 4, jengo la Sukari – Posta, Dar es salaam.

 

Toa Maoni yako sasa, JFC tupo tayari kukuhudumia.