Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Fedha

Tume ya Pamoja ya Fedha

JFC Logo
KUMBUKIZI YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
12 Jan, 2025
KUMBUKIZI YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Uongozi na Wafanyakazi wa Tume ya Pamoja ya Fedha, wanaungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar