KHERI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA
KHERI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA
09 Dec, 2024

Uongozi na Wafanyakazi wa Tume ya Pamoja ya Fedha, unawatakia Watanzania wote kheri katika maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, uliopatikana tarehe 9 Desemba, 1961.