KIKAO CHA SEKRETARIETI YA TUME, MEI 2024
KIKAO CHA SEKRETARIETI YA TUME, MEI 2024
Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Pamoja ya Fedha wakipitia taarifa zilizowasilishwa katika kikao cha Sekretarieti ya Tume, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Giraffe, Dar es salaam, tarehe 23 na 24, Mei 2024.