Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Fedha na Mipango

Tume ya Pamoja ya Fedha

JFC Logo
MAJUKUMU YETU

 

Majukumu ya JFC kama yalivyoainishwa na katiba ni:

  1. Kuchambua mapato na matumizi yatokanayo na, au yanayohusiana na usimamizi wa Mambo ya Muungano, na kutoa mapendekezo kwa Serikali mbili kuhusu mchango na mgawo wa kila moja ya Serikali;
  2. Kuweka chini ya uangalizi wa mara kwa mara mfumo wa fedha wa Jamhuri ya Muungano na pia mahusiano kati ya Serikali mbili kuhusiana na masuala ya fedha; na
  3. Kutekeleza majukumu mengine ambayo Rais ataikabidhi Tume au kama Rais atakavyoelekeza, na kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.