Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Tume ya Pamoja ya Fedha, Bw. Ahmed H. Saadat (kushoto) akitoa maoni baada ya wasilisho la Rasimu ya Mpango Mkakati wa Tume ya Pamoja ya Fedha kwa Mwaka 2026/27 – 2030/31 katika kikao cha Sekretarieti kilichofanyika tarehe 29, Mei 2025.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Pamoja ya Fedha wakifuatilia wasilisho la Rasimu ya Mpango Mkakati wa Tume ya Pamoja ya Fedha kwa Mwaka 2026/27 – 2030/31 katika kikao cha Sekretarieti kilichofanyika tarehe 29, Mei 2025.
Bw. Victor K. Rownald – Mchumi Mwandamizi akiwasilisha Rasimu ya Mpango Mkakati wa Tume ya Pamoja ya Fedha kwa Mwaka 2026/27 – 2030/31 katika kikao cha Sekretarieti kilichofanyika tarehe 29, Mei 2025.
Mjumbe wa Sekretarieti, Dkt. Juma M. Salum kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoa maoni yake baada ya wasilisho la Rasimu ya Mpango Mkakati wa Tume ya Pamoja ya Fedha kwa Mwaka 2026/27 – 2030/31 katika kikao cha Sekretarieti kilichofanyika tarehe 29, Mei 2025.
Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Tume ya Pamoja ya Fedha, Bw. Ahmed H. Saadat (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti baada ya kikao cha Sekretarieti kilichofanyika tarehe 29, Mei 2025.