• 1.JPG
  • 1.jpg
  • 1.jpg.JPG
  • 2.jp.JPG
  • 2.jpg
  • 2.JPG
  • 3.JPG
  • 3.jpg
  • 3.jpg.JPG

The Joint Finance Commission (JFC) was set up to be the Principal advisor of the Government of the United Republic of Tanzania (URT) and the Revolutionary Government of Zanzibar (RGZ) on financial matters related to the Union matters

TANZIA

Uongozi wa Tume ya Pamoja ya Fedha unasikitika kutangaza kifo  cha  Bw. Waddy Haji Ali - Katibu Msaidizi Idara ya Huduma Saidizi kilichotokea tarehe 02 Mei ,2022 kwa ajali ya gari akiwa Zanzibar Kikazi . Ofisi inasikitika kwa Msiba huu na inatoa pole kwa familia ya marehemu. 

E. M. Mchanga, Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha

02 Mei 2022. 

 
   

 Uteuzi wa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha.

Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ernest Maduhu Mchanga kuwa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha,

Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi.